fifa qatar

IQNA

IQNA-Afisa mwandamizi wa Harakati ya Kiislamu ya Mapambano ya Palestina, Hamas, ametoa pongezi za dhati kwa Uhispania kufuatia ushindi wake baada ya mechi ngumu katika fainali ya Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 2026, akielezea mafanikio hayo kuwa ni chanzo cha furaha kwa watu wa Palestina na wafuasi wote wa haki, huku akibainisha kuwa ushindi huo ni pigo hasa kwa utawala wa Kizayuni wa Israel na wafadhili wake.
Habari ID: 3482512   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/20

Kombe la Dunia
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ilikashifu "kampeni ya uchochezi" inayolenga Qatar kwa kuandaa Kombe la Dunia la FIFA 2022 na kusema inasimama pamoja na nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3476027   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/03